Young Scientists Tanzania - 2015 Kuanzia tarehe 5th - 7th August!
Ewe Mtanzania, acha niongee nawe juu ya fursa hii yenye kuweza badirisha maisha ya kijana au binti yako aliye sekondari. Fursa hii ni kwa mabinti na wavulana wa shule za sekondari nchini Tanzania ambao kwa namna moja au nyingine wanaweza kufanya Miradi ya kisayansi yenye kuweza isaidia jamii. Vipengele husika ni pamoja na TECHNOLOJIA - Ya Computer, habari na mawasiliano,
NAMNA YA KUSHIRIKI.
Mhusika anatakiwa awe anasoma shule ya sekondari kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita na awe tiyari kufanya utafiti wa kina kuhusu mradi wake ikihusisha kuongea na walimu wake, kwenda maktaba kusoma vitabu na kutumia mtandao katika kufanya utafiti. Kikubwa ni HARUHUSIWI KU-COPY kazi au maneno ya wengine badala yake anatakiwa kuelewa ni nini anataka kufanya. Zawadi ni nono kwa wanafunzi watakao shinda na shule wanazo toka. Waweza jiridhisha kwa kusoma kiasi hapa au kufungua Kiunganishi hapo chini.
Eligibility
The competition is open to secondary school students residing in Tanzania. A team comprises of two students from the same school. The competition is open to Ordinary and Advanced level.
What to Do Now
Think of a science-based idea that can be
developed into a project, and work on it. The judges want to see your
original research, not reams of words taken from some book or downloaded
from the web. By all means use whatever help you can, but put your own
individual stamp on whatever you do. The first person you should talk to
is your science or technology teacher. He or she will be happy to
assist you in any way possible, offering guidance and advice as needed.
Remember that universities, institutes of technology, relevant
organisations, non governmental organisations (NGOs), libraries and the
Internet may prove useful as you research your project; but please
always make contact with institutions or organizations through your
teacher.
No comments