Africa Prize for Engineering Innovation
Mainjinia Hamja sahaulika. Mlivyo visoma mtaani twaviita Ngumu kumeza hususani kwa wale wa Mtaa wa pili walio soma shule za Mtakatifu KAYUMBA. Basi ndo hivo tena kuna Award kwa wavumbuzi katika sekta hii na faida zake ni NONO Haswa.
WALENGWA: Mainjinia wa fani zote
ZAWADI: £25,000 kwa wakwanza, £10,000 - watatu watakao fuatia.
Lengo likiwa ni kuongeza ari kwa vijana na wanafunzi ili waweze ona nyanja hii ya uinjinia ni nyanja yenye fursa na kwa mjanja anaweza kuitumia kuvimba shavu.
Maelezo zaidi soma maelezo yafuatayo.
The Africa Prize for Engineering Innovation aims to stimulate, celebrate and reward innovation and entrepreneurship in sub-Saharan Africa. The Africa Prize encourages ambitious and talented sub-Saharan African engineers from all disciplines to apply their skills to develop scalable solutions to local challenges, highlighting the importance of engineering as an enabler of improved quality of life and economic development. Crucial commercialisation support will be awarded to a shortlist of innovative applicants through a six month period of training and mentoring. Following this period of mentorship, finalists will be invited to present at an event held in Africa and a winner will be selected to receive £25,000 along with three runners-up who will be awarded £10,000 each.
WALENGWA: Mainjinia wa fani zote
ZAWADI: £25,000 kwa wakwanza, £10,000 - watatu watakao fuatia.
Lengo likiwa ni kuongeza ari kwa vijana na wanafunzi ili waweze ona nyanja hii ya uinjinia ni nyanja yenye fursa na kwa mjanja anaweza kuitumia kuvimba shavu.
Maelezo zaidi soma maelezo yafuatayo.
No comments