Header Ads

Header ADS

Shindano kutoka NATIONAL GEOGRAPHY


Habari waungwana, Wengi tunashindwa tizama nje ya box kwa visingizio vya "Sina Mtaji wa kuanzia Biashara au wazo fulani nililo kuwa nalo. Usiwe Mbumbumbu na limbukeni unaye acha mawazo yako yapotee kihivi wakati wengine wanatoka kivile. Please amka na chukua hatua. Nafasi ni hii na wakati ni huu.
 KUTOKA:  NATIONAL GEOGRAPHY
We invite you to share an idea for a competition that would challenge the world to solve an issue that's important to the fields of science, exploration, or conservation. If we choose your idea, you'll be awarded a $10,000 prize, and your idea could be turned into a full competition. We're not looking for a solution to a problem. We're looking for ideas for a competition that would challenge the world to solve the problem.
Bonyeza hapa kwa kusoma zaidihttps://www.natgeochallenges.com/about
Bofya hapa kwa Mashartihttps://www.natgeochallenges.com/application

No comments

Powered by Blogger.