Header Ads

Header ADS

The Commonwealth Youth Gender and Equality Forum, Malta on 13–17 May 2015


Mwenzangu, Kila siku lawama. Je unaamini katika Usawa wa kijinsia? Unaufahamu wowote juu ya Kitu kinaitwa CHOGM? Kama jibu ni ndio basi fanya kama hii ndo nafasi yako vile "The Commonwealth Youth Gender and Equality Forum, Malta on 13–17 May 2015". Kumbuka tunapo zungumzia Fursa Hizi ndizo. Topic Zinatako jadiliwa ni pamoja na " child marriage, harmful practices, domestic violence, sexual violence, access to education, economic empowerment, entrepreneurship, leadershi na STEM. Maombi mwisho tarehe 20 mwezi wa pili na mpaka tarehe sita utajuzwa kama umechaguliwa. Soma zaidi hapa: www.njeyatanzania.blogspot.com FOMU ZA MAOMBI: https://thercs.org/youth/commonwealth-youth-gender-and-equality-network/

No comments

Powered by Blogger.